Blog Day 2010

Are you a blogger? Are you ready to be part of something big?
Do you want to leave a mark on the face of the earth?

CELEBRATE THE 4th BlogDay ON AUGUST 31st

Blogday ni nini ?

Siku ya Blogu au Blogday ilibuniwa na nia kuwa wanablogu wanafaa kuwa na siku ambayo wataweza kuitumia kufahamiana na wanablogu wa nchi nyingine, wenye tamaduni tofauti au wanaoandika kuhusu mada tofauti tofauti .Siku hiyo wanablogu watachagua na kuwapendekeza hao wanablogu wenzao kwa wageni wanaotembelea tovuti zao

Nini kitafanyika siku hiyo ?

Siku hiyo Agosti 31 wanablogu duniani watabandika mapendekezo yao ya blogu tano - haswa zile ambazo ziko tofauti na desturi zao tamaduni, mwelekeo. Siku hii wanaovinjari blogu watajikuta wakigundua maswala mengi tofauti na blogu zisizojulikana, huku wakisherehekea kujua watu na wanablogu wapya.

Masharti

  1. Tafuta blogu 5 zinazovutia
  2. Julisha wanablogu 5 kuwa unawapendekeza kwa siku ya Blogu 2010
  3. Andika kwa kifupi kuhusu blogu hizo na uweke viunganishi inavyostahili
  4. Andika kuhusu shughuli hii kwenye hio siku (Agosti 31)
  5. Ongeza kibandiko cha Blogday ukitumia kiunganishi hiki:
    http://technorati.com/tag/blogday2010 na ongeza kiunganishi cha tovuti ya Blogday kwenye http://www.blogday.org

Sherehekea!

Grab a badge

Grab this badge
Grab the code

Show badge
Grab this badge
Grab the code

Show badge
Grab this badge
Grab the code

Show badge
Blog Day 2010
Follow Blogday's Twitter

Hey me!

Hi, I'm Nir Ofir. blogDay initiator.

Did you know that the majority of blog Readers read a very small number of top blogs? Is this social media?

I initiated the blogDay in 2005 with the belief that bloggers should have one day which will be dedicated to discover new blogs and expose them to the world. Celebrate with is in August 31st.

Contact me: nir.ofir (at) gmail (dot) com